2 Samuel 12:15

15 a bBaada ya Nathani kurudi nyumbani kwake, Bwana akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua.
Copyright information for SwhNEN